Mishamo Tz

Alhamisi, 5 Oktoba 2017

Jinsi Ya Kupika Wali w Njano

Jinsi ya kupika wali wa manjano

Chef Mishamo

Ni mara nyengine tena tukutane katika jiko letu. Leo wali, chakula kilozoeleka mno na watu wengi, lakini wali wetu sisi leo utakua na ladha nzuri zaidi na rangi tofauti, hivyo unavutia mlaji. Sio lazima wali uwe mweupe kila siku utachosha walaji. Karibuni sana tuandae chakula chetu.
Mahitaji
Mchele kilo 1
Mafuta nusu kikombe
Vitunguu maji 2
Vitunguu thoum kiasi
Chumvi kiasi
bizari ya manjano kijiko 1
Jinsi ya Kuandaa na Kupika Wali wa Manjano Hatua kwa Hatua
Wali wa manjano waweza liwa na mchuzi, kachumbari, kitoeo, matunda na hata juisi upendayo. karibuni sana.
Sambaza:
Maoni 3
Una Jambo? Toa Maoni Hapo Chini
Mapishi yaliyo sawa na haya Chambua mchele vizuri, upete na uukoshe 1
bandika sufuria, tia mafuta, wacha yapate moto 2
tia vitunguu uvikaange, kisha vitunguu thoum na binzari, endelea kukaanga kidogo 3
mimina mchele na chumvi, uchanganye vizuri 4
Ongeza maji ya moto, changanya vizuri, funika uuache uendelee kuiva na kukauka maji 5
maji yakikauka, angalia kama umeshaanza kuiva, kama tayari upalie moto juu na chini ukauke vizuri. Ukisha kauka wali wetu utakua tayari, w

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni